Unaweza pia kusikiliza hii audio:https://audiomack.com/upendokitundu01/song/brand-utangulizi
1.Acha kuvaa brand za watu.
Kuvaa brand za watu wengine badala ya kwako.
Unaweza pia kusikiliza hii audio:https://audiomack.com/upendokitundu01/song/1brand
2. Kuwa adimu au usijirahisishe.
Usijirahisishe waoneshe watu kuwa na maisha mazuri na unaweza kujitegemea bila watu.
Unaweza pia kusikiliza hii audio:https://audiomack.com/upendokitundu01/song/2brand
3.Acha mazoea kwenye kazi.
Usitoe huduma yako mahali kwa bure sababu ya mazoea.
Unaweza pia kusikiliza hii audio:https://audiomack.com/upendokitundu01/song/3brand
4.Acha uongo na utapeli.
Kuwa mwaminifu kwenye kazi yako,hio itakusaidia kutajwa mbele ya fursa.
Unaweza pia kusikiliza hii audio:https://audiomack.com/upendokitundu01/song/4brand
5.Acha kujihurumia.
Punguza kufatilia vitu visivyo na msingi na hakikisha unaongeza mda wa kazi yako.
Unaweza pia kusikiliza hii audio:https://audiomack.com/upendokitundu01/song/5brand
Kwa mahitaji bora na usimamizi wa logo au brand basi wasiliana na Mr.Shamba-0742699405.
Usiache ku subcribe blog hii na audio zetu kupata kila unalolihitaji.







Comments
Post a Comment